Hawa hapa wakali Bongo kwa kuimba na michano MUZIKI ni sanaa yenye kuhitaji ufundi na ubunifu wa hali ya juu katika uwasilishaji wake, tena katika kipindi hiki ambacho muziki wa Bongofleva umekuwa na wasanii ni wengi, lazima kuzingatia vitu...
Dully Sykes aja na studio popote MFALME wa Bongo Fleva, Dully Sykes ameanzisha mfumo mpya wa kurekodi muziki nchini, Studio Popote, ambayo anamfuata msanii atakapomuelekeza kwa ajili ya kumrekodia wimbo.